Persoonapronominit
Mimi = me
Wewe = you
Yeye = he/she
Sisi = we
Nyinyi = you
Wao = they
Viikonpäivät
Jumatatu = Monday
Jumanne = Tuesday
Jumatano = Wednesday
Alhamisi = Thursday
Ijumaa = Friday
Jumamosi = Saturday
Jumapili = Sunday
Numerot
Moja = one
Mbili = two
Tatu = three
Nne = four
Tano = five
Sita = six
Saba = seven
Nane = eight
Tisa = nine
Kumi = ten
Ishirini = twenty (Ishirini na sita = 26)
Thelathini = thirty (thelathini na tatu = 33)
Arobaini = forty
Hamsini = fifty
Sitini = sixty
Sabini = seventy
Themanini = eighty
Tisini = ninty
Mia = hundred (mia mbili na hamsini na saba = 257)
Elfu = thousend (elfu tatu na mia tano na ishirini na tisa = 3529)
Ruoka+juoma-sanastoa
Naomba = Could I have...
Maji = water
Kubwa = big
Ndogo = small
Baridi = cold
Moto = hot
Chakula = food
Bili = bil
Wali = rice
Nyama = meat
Kuku = chicken
Samaki = fish
Maharage = beans
Chips = french fries
Chipsimayai = french fries omelet
Bia = beer
Redds = cider
Juice = juice
Ndizi = banana
Maembe = mango
Nanasi = pineapple
Machungwa = orange
Parachichi = avocado
Papai = papaya
Matunda = fruits
Kahava = coffee
Chai = tea/breakfast
Maziwa = milk
Sukari = sugar
Mkate = bread
Chakula kitamu = food is delicious
Värit
Bluu = blue
Kijani = green
Manjano = yellow
Nyeusi = black
Nyeupe = white
Nyekundu = red
Zambarau = purple
Kiudongo/kahawia = brown
Kijivu = grey
Pinki = pink
Rangi gani? = What colour?
Upinde wa mvua = rainbow
Eläimet
Ngombe = cow
Paka = cat
Mbwa = dog
Nyumbu = wilderbeest
Ngiri = wildhog
Samba = lion
Tembo = elephant
Chui = leopard
Kifaru = rhino
Mamba = crocodile
Swala = antiloop
Kiboko = hippo
Twiga = giraffe
Pundamilia = zebra
Kobe = tortoise
Sokwe mtu = gorilla
Chura = frog
Nyani = monkey
Nyati = buffalo
Sungura = rabbit
Fisi = hyena
Ndege = bird
Tausi = peacock
Kasuku = parrot
Chatu = python
Kehonosat
Kichwa = head
Macho = eyes
Pua = nose
Mdomo = mouth
Masikio = ears
Nywele = hair
Mkono/mikono = hands
Mguu/miguu = feet, legs
Kidole/vidole = fingers + toes
Koo = throat
Kidevu = chin
Mashavu = cheek
Mabega = shoulders
Magoti = knees
Nyayo = ‘jalkapohja’
Kifua = chest
Mgongo = back
Tumbo = stomach
Kiuno = weist
Mbavu = ribs
Figo = kidney
Ini = liver
Mapafu = lungs
Matako = butt
Matiti = breast
Ulimi = tongue
Moyo = heart
Ngozi = skin
Kucha = nails
Meno/jino = tooth, teeth
Nyusi = eyebrown
Kope = eyelashes
Mboni = eye ball
Hii ni nini? = What is this?
Verbejä
Cheza = play
Jifunza = learn
Andika = write
Chora = draw
Hesabu = count
Kula = eat
Njoo = come
Lala = sleep
Tema = spit (usiteme = don’t spit!)
Kunywa = drink
Meza = swallow
Kaa = sit
Twende = let’s go
Nawa = wash (nawa mikono = wash hands)
Subiri = wait
Tupa = throw it away
Penda = love (nakupenda = I love you)
Lauseita
Jina lako ni nani/Unaitwa nani? = What’s your name?
Jina langu ni.../ninaitwa…= My name is…
Umetokea wapi? = Where do you come from?
Nime tokea Finland = I come from Finland
Una miaka mingapi? = How old are you?
Nina miaka… = I’m…years old
Sielewi = I don’t understand
Unaongea kiingereza/ Kiswahili? = Do you speak English/Swahili?
Hii ni nini? = What is this?
Choo iko wapi? = Where is toilet?
Shillingi ngapi?/Bei gani? = How much this costs?
Nina njaa = I’m hungry (njaa = hunger)
Nina…. = I do ‘something’ (Nina nawa mikono = I wash hands)
Nina… = I have ‘something’ (Nina kitabu = I have a book)
Una… = You do… (Una kula = You eat)
Ana… = He/She does... (Ana andika = He/She writes)
Tuna… = We do… (Tuna cheza = We dance/play)
Naomba…= Could I have…
Chakula kitamu = Food is delicious
Ei kommentteja:
Lähetä kommentti